Nisehemu Ya Ibada Ya Jumapili Ya Tarehe 8-09-2019 Kutoka Huduma Ya Mtumishi Wa Mungu Mtume Boniface Mwaposa Katika Ibada Ya Kukanyaga Mafuta.Ni Ibada Ambayo Inafanyika Kila Mwezi Mara Moja Katika Huduma Ya Arise And Shine Ministries Tanganyika Pekers Kawe Dar-es-Salaam.
#Mwamposa#IbadaniJumapili#Mafuta