Duration 6:5

MASHINE YA KUZALISHA MKAA INAYOWEZA KUA KIWANDA CHA KUZALISHA MKAA MIJINI

5 874 watched
0
24
Published 12 Nov 2017

Wakati serikali imewataka wakuu wa mikoa pote nchini kuhakikisha wanaanzisha viwanda 100 kila mkoa hii ni fulsa pekee ambayo ikitumika kikamilifu itazalisha ajila kwa vijana pia kwa kuanzisha viwanda vya kuzalisha mkaa kutaokoa kiwango kikubwa cha misitu inayoteketea kila mwaka sababu ikiwa ni ukataji miti kwa ajili ya uchomaji mkaa. mashine hii itaongeza tahamani ya mazao kwa kua mabaki yote ya mazao yatakua malighafi kwa uzalishaji mkaa mbadala,miji itakua safi kwani 50% ya takataka zote zinazolishwa mijini zitakua malighafi ivyo takataka kua bihashara. Kuja na kushoka tools manufacture tumebuni mashine yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha mkaa mbadala kwa mahitaji ya mashine na mafunzo piga simu no 0754431522

Category

Show more

Comments - 4