Duration 4:55

WAZIRI MKUU AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI WAO.

239 watched
0
2
Published 27 Apr 2021

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipotembelea kiwanda Cha uundaji wa Magari BM MOTORS kilichopo Zegereni Kata ya Visiga Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani kinachomilikiwa na Mwekezaji wa Kitanzania Ndg. Jonas Nyagawa

Category

Show more

Comments - 0