Duration 9:57

MATUMIZI YA UWIANO WA MADENI KWA MTAJI KATIKA KUFAHAMU KAMPUNI BORA YA KUWEKEZA KWENYE SOKO LA HISA

161 watched
0
4
Published 13 Jan 2021

Viungo katika mitandao yetu ya jamii; https://www.instagram.com/matrich_investing/?hl=en https://www.facebook.com/Matrich-Investing-104068614639938/ https://twitter.com/MatrichInvesti1?s=09 MAELEZO KUHUSU UWIANO HUU Haya ni mahesabu yanayochukuliwa baada ya kuchukua dhima jumla ya kampuni na kuigawanya kwa mtaji wa biashara. Uwiano huu unatumika kuthamini uwezo wa kampuni hiyo katika kujiinua. Inatumika kama kipimo cha kuangalia kama kampuni inafadhili opresheni zake zaidi kwa kutumia madeni au mtaji wake wenyewe Inatumika pia kutazama uwezo wa mtaji wa wanahisa katika kufunika madeni yake yote katika kipindi kigumu cha biashara Katika uchunguzi wa kutafuta hisa nzuri ni vyema zaidi uwiano huu ukawa mdogo ukiashiria ya kwamba biashara inaendeshwa zaidi na mtaji wa wanahisa kuliko dhima jumla ya kampuni. Uwiano huu unapaswa kuwa chini ya 0.8 ili itambulike kama kiwango kizuri cha madeni kwa mtaji (isipokuwa mashirika ya kifedha kama benki) MAHESABU YAKE 𝑫𝒉𝒊𝒎𝒂 𝒋𝒖𝒎𝒍𝒂/𝑴𝒕𝒂𝒋𝒊 𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒉𝒊𝒔𝒂

Category

Show more

Comments - 2