Duration 22:12

Highlights: Morrison aupiga mwingi Simba ikiichapa Red Arrows 3-0 CAF CC

1 048 816 watched
0
3.3 K
Published 28 Nov 2021

SIMBA 3-0 RED ARROWS: Bernard Morrison amehusika kwenye magoli yote matatu Simba SC ya Tanzania ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC. Mechi hii imepigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, ambapo Bernard Morrison amefunga magoli mawili na kutoa ‘assist’ moja kwa Medie Kagere huku akikosa mkwaju wa penati dakika ya 30.

Category

Show more

Comments - 385