@noahwamalwa43854 years agoJohn 4: 24 " god is spirit, and his worshipers must worship in the spirit and in truth.
@
@maryammagenyo5087last yearMungu akulinde shekh yusuf akurejee afya njema kama ulivio kuwa hapa ameen. 2
@
@ambbabu41222 years agoMashaa allah. Bado tunakumbuka mashaa allah. Allah akujalie afya njema. 1
@
@Estherm3093 years agoYesu alijaribiwa sembuse wewe mwanadamu. 1
@
@Estherm3093 years agoAmen mama mungu akujalie neema kubwa kama hiyo. 1
@
@alimaalima60166 years agoMashallah. Na huyu mama nae nimshindani namuombea mungu amuongoze aijue haki naaweze kuifuata. 5
@
@BURHANDAWAHMAN6 years agoMama kanini bado haja islimu from 2007 until. 5
@
@hamisikulola84816 years agoQuran 5: 72 walishakwisha kufuru wale wanaosema allah ni issa bin mariam. 5
@
@mutomubaya2 years agoShukrani mwalimu yusuf kwa kumuelimisha dada yetu. Allah amuongoze aelewe kwamba allah ndiye mungu peke yake, na hana mshirika. Asipoelewa wataelewa wengine wengi tu ambao wanasikiza hapa, in sha allah. 1
@
@ramazecha28773 years agoMashalah mashekh wetu mungu awape nguvu. 1
@
@kibibimwanamvuamohammadmoh98236 years agoAllah amzindue mama hyu na wengine woote ili waiyone haki na kuifuata. Aamiyn wachungaji wao ndio wanawowapoteza. 1
@
@njaginjeru71315 years agoWambugu explain tawheed in islamic religion. 1
@
@shailglobal22962 years agoMbona umekonda video zako mpya lakin hii ulikuwa mnene.
@
@magnust.camingsoon96695 years agoDu, ningekuwepo hapo ningewabatiza walimu wote maana mnaingia kwenye mitego bila kujua huyo mama ni christian lakini hayuko na elimu ya hoja lakini bado anawapeleka peleka.
Related videos for Da-waa ndani ya County ya Nairobi katika mtaa wa isilii:
mashaa allah. Allah akujalie afya njema. 1
walishakwisha kufuru wale wanaosema allah ni issa bin mariam. 5
wachungaji wao ndio wanawowapoteza. 1