Duration 23:14

MBOSSO: Sikuwa na ushkaji na Harmonize, Aslay alinunfollow Insta nikashangaa, Tanasha naye kuniblock

146 447 watched
0
2 K
Published 14 Sep 2020

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky ambapo Mbosso anafunguka kuhusu kutokuwa karibu na Harmonize licha ya kuwa label moja ya WCB, kwanini yeye na Aslay si marafiki tena na jinsi anavyoimiss Yamoto Band, alijisikiaje baada ya Tanasha kumblock Instagram, iwapo anapendelewa na Diamond pamoja na mambo mengine

Category

Show more

Comments - 214