Duration 8:14

KAMATI KUU YA CCM YAWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DKT MWINYI KWA UCHAPAKAZI

45 watched
0
0
Published 23 Jun 2021

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka akielezea yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichowapongeza Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Jkt Hussein Mwinyi kwa uchapakazi wao mzuri wenye mafanikio tangu waingie madarakani. Shaka, ameyasema hayo wakati wa mkutano na wandishi wa habari katika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma muda mfupi baada ya kiako hicho kumalizika ambapo pia alitangaza uteuzi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Kenani Kihongosi na mgombea Ubunge Jimbo la Konde, Chakechake Pemba.

Category

Show more

Comments - 0