Duration 4:46

Jenerali Ulimwengu: Kinachoendelea serikalini, Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia

332 029 watched
0
1.1 K
Published 14 Jun 2016

Jenerali Ulimwengu akiwa kwenye kongamano la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam, amesema pamoja na hatua nzuri anazochukua Rais wa sasa, Mheshimiwa John Magufuli ambazo zimepongezwa lakini ukiangalia picha kubwa ni kwamba tumerudi nyuma kama miaka 50 kwenye demokrasia. Ulimwengu amesema ni kutokana na kufinya uhuru wa kujieleza na hususan kwa kufinya uhuru wa wawakilishi wa wananchi ndani ya bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ulimwengu kasema katika hili hamna kifimbo cha uchawi cha kujinasua isipokuwa mchakato wa katiba ambao ulichukua fedha nyingi kisha ukaachwa njiani na Mheshimiwa Kikwete. Ulimwengu ameendelea kwa kusema Mheshimiwa Kikwete anatakiwa kupelekwa mahakamani kujibu mashtaka kwa kusababisha hasara kubwa kwa serikali na pili kuzima matumaini ya wananchi na kuwaacha wanarandaranda ambayo inaweza kuleta machafuko baadae kama haitawezekana kutengeneza katiba ambayo itajenga mustakabali wa wananchi wa Tanzania.

Category

Show more

Comments - 174
  • @
    @paulpeter72445 years ago Congratulations mzee for your high level of confidence, you have nothing to fear, i give you five stars. 8
  • @
    @abhambomihambo67546 years ago I definitely agree with you mzee&big up and this is freedom of expression but i' m not sure with the majority of tanzanian whom are ignorent to accept your opinion, well done! 5
  • @
    @plujorilugano94893 years ago Huyu ndiye jenerali ulimwengu mkweli na jasiri anayependa nchi yake, mungu akuzidishe maisha marefu. 1
  • @
    @stevenmamba24648 years ago Very refreshing to see a leader speak the truth. 12
  • @
    @abdulrahmansaliumalbry26155 years ago Waambie walio kuwa hawaelewi hongera jenerali ulimwengu. 1
  • @
    @juliusmassabo65958 years ago I just loved the confidence j ulimwengu kaonyesha kuwa he is not a push over. 9
  • @
    @calvinkitaly79356 years ago Asante babaatutangulie na atusimamie maana hakuna lisilowezekana kwa mungu. 1
  • @
    @ebenernnko33395 years ago Watu kama hawa awapatkani kirahisi hongera sana ulimwengu. 1
  • @
    @titomwashuya64603 years ago Outspoken man very rare in today' s world. 1
  • @
    @deogratiasmakilika72678 years ago Kwa dhati kabisa, ipatikane katiba mpya itakayotoa dira ya tanzania mpya ya vizazi vilivyopo na vijavyo! 5
  • @
    @hosearwechungura71647 years ago Ndio, tunataka ukwel, gen. Ulimwengu asante sana, we love u for being patriotic! 7
  • @
    @akidasalim97986 years ago Munguulimwengu useme ukweli nchini mwetu. Kweli tumerudi nyuma baba. 1
  • @
    @annapeter49946 years ago Mzee taifa zima linakusikia na linakuunga mkono. Na tunakuombea ulinzi toka kwa mungu mwenyewe. Unakubalika mzee. 1
  • @
    @yusuphishengoma63066 years ago Duh, mzee ulimwengu na mzee mkapa nawakubali mno! Ujumbe mnaoutoa unahitaji uelewa wa hali ya juu sana kufaham mnachokusudia!
    uwa mnaongea maneno . ...Expand 2
  • @
    @justinmkwanda41436 years ago Pamoja na hoja zake nzuri sana zenye uzalendo atatengenezewa kesi hii awamu ya tano haiwatakii mema watz tunakandamizwa mno. 1
  • @
    @ibramohamed34007 years ago Safi mzee ulimwingu tz inataka watu kama wewe ili ikombolewe. 2
  • @
    @shadrackmnjelu52857 years ago Well done tunahitaji viongoz wise kama ninyi. 1
  • @
    @malakigerald85867 years ago Inasikitisha sana kuona serikali/mtu anawanyima watu haki yao ya kisheria na kikatiba.
    ombi langu kwa wanaharakati ombeni tafisiri ya kisheria naomba hili lipelekwe mahakamani tupate tafsiri ya kisheria maana ni kinyume na sheria lakini na katiba yenyewe!. ...Expand
    2
  • @
    @johngibson30896 months ago Natamami sana tz hii ingekuwa na viongozi angalau 10 wa kitaifa wa calibre ya ulimwengu. Hata mzee mkapa amepata shule hapo, na imemuingia kabisa. 1
  • @
    @sebastianngimba48506 years ago Ccm naipenda sana kwakua nilikua katibu. Lakini naichukia kwakua imejaa wanafiki watuwao ndioo huku tuna njaa, kazi hakuna vitisho kila kona. Kwakuwa hajiamin. 1
  • @
    @josephnchunga65546 years ago Pole sana mzee kila zama na wakati wake.
  • @
    @AliOmari-uv8hf9 months ago Hongerasana mzee wapemafuzo watubana hajuwichochotewanamuwa.
  • @
    @ibrahimaboker90866 years ago Angekuwa ndio rais wetu
    nchi inge endelea mbele.
    mzee ulimwengu usikubali kufungwa mdomo tetea haki.
    2
  • @
    @tuyeverseonlinetv41445 years ago Yes, tunao wazee wenye taswila ya nchi hii. Like hapa kama umemuelewa general. 1
  • @
    @shalifuamuli15216 years ago Uyu mzee inatakiwa hagombee urais 2020 yuko vizuri. 1
  • @
    @kakuhassan47348 years ago Very expected fact, hakuna mjeshi zuzu shikamo baba ulimwengu u got five star mzee. 10
  • @
    @akidasalim97986 years ago Una akili sana mr ulimwengu c ishii hapo bali nakupongeza sana kw kusema ukweli. Asante baba generali ulimwengu. 1
  • @
    @michaelthomas47827 years ago Huo ndio ukweli. Maendeleo tuloletewa na uongoz wa mh jk yalikua maendeleo ya muda kuridhisha watz kwa muda. Kama yangekua maendeleo ya kweli basi tusingetaabika namna hii kipindi hiki. Big up jpm. 1
  • @
    @profftobe37026 years ago Walioba koo limekauka kwa speech ya ulimwengu! 1
  • @
    @staphordrichard10006 years ago Ulimwengu anamaliza tu hutuba mzee walioba anamuunga mkono kwa kumnywea maji mmeona. 2
  • @
    @babujuve14646 years ago Ninachosema nikwamba kama watanzania tungeweza kujitambua kama alivyo uyu jenerali ulimwengu tusingekuwa tunachezewa na awa viongozi wetu wa serimari yetu. 1
  • @
    @abhambomihambo67546 years ago Mzee nakukubali na umelitendea haki jukwaa na kujuwa kuutumia uhuru wako wa maoni nana watu tusioshabikia vyama tumekuelewa lkn kuna hao wajinga ambao ndio wengi wetu itabidi tuwavumilie tuu, si unaona majibu yao!. ...Expand 13
  • @
    @nkwabimayunga4737 years ago Wazee kama ulimwengu na warioba nihazina. Mana watazania wateswa sana na watawala hawako huru tena nimateka bora wazee muwasemee watu ukitoa. Maoni wewe mchochezi bora katiba na wao wakikosea washitakiwe. 6
  • @
    @martincosmas31447 years ago Mzee omeogea ila nsjuewa utapuuzwa au utaulizwa uraia hogera mzee. 2
  • @
    @nelsonlema53676 years ago Tukipata watu kumi wenye kusubutu kama jenerala ulimwengu tanzania itasonga mbele. 1
  • @
    @jamessway81848 years ago Kwel baba upo sahihi ilahiyo katiba? Namuona warioba mzee wetu. 5
  • @
    @mhlegusekambona28186 years ago Uungwana ni vitendo, kuongea na kuelekeza. Generally ni muungwana sana. Take care generali they will pursue you kimyakimya.
  • @
    @sultannchacha6666 years ago Mzee ulimwengu tunahitaju watu kama wewe. 2
  • @
    @hamulimajeshi15125 years ago Kumbe bado nchini kwetu watu wanajadili hoja za msingi.
  • @
    @daudimkwela8 years ago Well said. Jamaa kaongea point to point! Huyu jamaa ni mwanaharakati wa kweli sema ndo siasa na utawala wa bongo unamzingua sana. Warioba hana shida kabisa . ...Expand 2
  • @
    @eliasnsimba59766 years ago Ulimwengu ni mtu anayejiamini sana namkubali sana.
  • @
    @sideniuskatula66167 years ago Nameipenda saana
    naomba vyombo vya habali vimpe kindi kila mwisho wa mwezi.
    3
  • @
    @japhetmkwizu89296 years ago Mimi naona hachochei ila ananyoosha palipopinda. 1
  • @
    @shadrackmnjelu52857 years ago Kumbe urais ndo kila ki2 7bu many of them mko againxt na hyu jmaa xaxa kwann hamumbadlixhi.
  • @
    @timbulosaid634 years ago Nasema hivii wanataka kulipeleka taifa ktk machafuko niwale wanaotaka chama kimoja kiongoze hao wajue wanalipeleka taifa ktk hali ngum sana.
  • @
    @saidimilanzi64036 years ago Kwa nini unashangiliwa na wengi? Ni kwa sababu unaongea yaliyo ya kweli. 1
  • @
    @samwelimashaka89975 years ago Du! We mzee noma kidogo lkni mbna kama mwana nani! Nikutoka moyini kwel?
  • @
    @oswaldpancras83534 years ago Bado tunapitiaga hizo facts, zipo hai kuliko awali.
  • @
    @ibrahimgwasma2356 years ago Tatizo mzee unaonesha upo upande gani wa kiitikadi.
  • @
    @ramsoramso92736 years ago Uyu mzee namkubali sn uyu kweri ni mtanzania sio aya mangine ni mavamizi ya hii nchi aya. 1
  • @
    @dazk78615 years ago Ukisikia uanaume ndio huu, sio kudindisha hovyo tu.
  • @
    @koylaempire21356 years ago Kwanikwa lugha ya kiswahili lina tafsiri gani, hilo neno ni la kizungu, sasa kwa kiswahili jee, tusione kwamba hilo neno ni vyama kama ngugu, kila moja ajitokeze kupigia kura anaymtaka na kadhalika, sisi kwetu ujamaa na kujitegemea linaeleweka vizuri sana watanzania wengi kama sio wote, lakini hili lingine ni matatizo sana, na mimi binafsi naona halina tija kwa jamii yetu na maendeleo ya wananchi wetu kwa ujumla, kwani tokea tupate uhuru na hata kabla ya uhuru wananchi wetu walikuwa wanatumia hilo, ujamaa na kujitegemea, walikuwa hawa msaada kutoka sehemu yeyote ule, walikuwa wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya maendeleo, na hata wakati wakoloni wakitawala, kwanini hawakuwa na hilona sisi wazawa tungegombea viti serikalini, sasa baada ya kupata uhuru, ghafla unakuta mamboz kubadilika na tunakuta, haki za binadamu, ma ngo kibao, na hilo democracysana hata na un, sasa kabla ya uhuru kwani un ilikuwa haipo, lilikuwepo toka miaka ya arobaini, sasa mbona haki za binadamu hatukupata na siye jamani, tafadhali ndugu zangu, angalieni maslahi ya nchi yetu na la bara letu la africa bila kushawishiwa na makachero hawa wakulipwa toka potea njia na kuelekea walipo wenzetu wa ghuba. Wasomi wangapi walikuwepo wakati tunapata uhuru, sasa hivi asilimia karibu kubwa wanajua kusoma na kuandika ndiyo maana utakuta simu za mikononi wana biashara kubwa kwetu, tulipopata uhuru tulikuwa sio zaidi ya milioni kumi tanzania yote, sasa tuna zaidi ya milioni hamsini na tano, lenye wasomi kibao, na hata wengi unaokuta wana pinga chama tawala wamesomeshwa na serikali hicho kinacho tawala kwa sasa, badi naomba nyie vijana wa muhula wa sasa msihadaike na hawa waliopotea njia na mwekekeo, nyie malizeni masomo yenu na kujenga nchi yetu kwa pamoja, asanteni, sii nia yangu kumkashifu yoyote yule ila nimesemea la moyoni langu, kama limemuumiza yeyote. ...Expand
  • @
    @iddiathumani59657 years ago Si uligombea cheo ukaambiwa si mtanzania?
  • @
    @katungenyanda61776 years ago Wewe si mtanzania sishangai kusema hayo.
  • @
    @omarmussa1776 years ago Anasema hakuna demokrasia yakujieleza mm nashangaa ila maneno kama hayo aliyoyasema ingelikuwa uganda au rwanda sijui ingelikuwaje ila ninavyofahamu demokrasia . ...Expand
  • @
    @rommelmauma72736 years ago Ulimwengu, mwaka 1965 tanzania iliingia mfumo wa chama kimoja sio wavyama vingi!
  • @
    @josephnchunga65546 years ago Siasa za panda telemka zilikuwa zinawapa pesa si bure ndio maana mnaongea mpk mishipa inawa toka. Siasa zenyewe ni mitusi tu mwanzo mwisho, unaweza kutupatia . ...Expand