Duration 5:29

Usitumie vyakula hivi kama una vidonda vya tumbo (ulcers)

35 155 watched
0
208
Published 4 Jun 2020

Kuna vyakula ambavyo watu wenye vidonda vya tumbo hawashauriwi kutumia. Hii ni kwa sababu vyakula hivi vinaweza vikafanya dalili za vidonda vya tumbo zikawa mbaya zaidi. Video hii inaelezea vizuri vyakula ambavyo mtu mwenye vidonda vya tumbo hapaswi kutumia.

Category

Show more

Comments - 39