Duration 4:40

KIKWETE MAGUFULI SIKUKUAMBIA YULE MSUKUMA UMTUMBUE, WAKATI WA KAMPENI

49 417 watched
0
320
Published 30 May 2020

#millardayoUPDATES

Category

Show more

Tags

Comments - 67
  • @
    @jeremiadaudi57804 years ago Ahsante rais magu kwa kuoshi pamoja na wa staff wenzio. 8
  • @
    @fatumasamiasuluhuog86964 years ago Jamani magufuli ana roho nzuri mnataka nini tena watanzania magufuli anatoshaaa. 4
  • @
    @Anza_tz4 years ago Sema magufuli ana akili sana ameitunza sana heshima ya waliomtangulia. 11
  • @
    @samanthaali8734 years ago Hahahaha nampenda mzee kikwete mtulivu. 4
  • @
    @augustinomwamasinga22004 years ago Daah rais magufuri ni level ya juu sanaaa.
  • @
    @mdathirumagayane6884 years ago Jakaya una busara sana, natamani ningekuwa na busara kama za kwako, mungu akulinde sana.
  • @
    @shaabansulaymaan44784 years ago Kwamba ulkuwa unajua kuna ttzo lkn ulshndwa kuchukua hatua, ukawa unapigwa kiswahil cha " tupo mbion" . 4
  • @
    @starvennja24804 years ago Well done our president magufuli god is gonna bless you.
  • @
    @nikiflavour38844 years ago Uyo mzee aja badilika bado mzee una chekesha mbaya, 2me kumiss usikae kimiya sana. 1
  • @
    @teddykanondo57534 years ago Mzee wa busara. Magufuli yuko kwenye hotuba akipita mwanamke mweupe tayari kageuza hotuba. Kubwa jinga.
  • @
    @dechaggagirl16144 years ago Hyu mkapa jmn kumbe yupo ndio enzi zangu nasoma iyo alikiwa.
  • @
    @erickwanjarajr57074 years ago Mambo ya kuleana ndiyo yameifikisha hapa tz, kama yule ngosha angemwacha leo wangepata mgao wa ndenge. Think about!
  • @
    @ismailahmed51334 years ago Huyu ndege mbaya yaani yeye atakae wakuta ndo hao, duh, 1
  • @
    @philipomathew3004 years ago Kiukweli jk hukumsikia rais wetu hajakwambia eti ulimwambia amfukuze msukuma hapana kasema alivyoingia ikulu yy alimfukuza kazi kwasababu ww ulimshauri huyo msukuma hakukuckiliza umemckia vibaya.
  • @
    @gemkachar4 years ago Jamani nawapenda sana hawa ndege tausi. Niwapi naweza kuwanunua niwafuge. Nisaidieni jamani hela sio tatizo. Hela ninazo. Namiliki eneo langu na shamba kubwa mahali palipo salama. Jamani nisaidieni nipate kumiliki tausi. 1
  • @
    @ubuzimabuzimatv4 years ago Hello kuko tweeter nimeandika tweeter yangu naomba raisi wawanyonge dkt john pombe magufuli, ndege ya tausi muni fikishiye ire tweeter kwake nawaomba, tweeter yangu: ubuzima buzima. 1
  • @
    @jeffjohlu29104 years ago Kama unaumgana nami kummic mh. J kikwete gonga like apa. 11
  • @
    @darkplatnum90064 years ago Rais bora kuliko wot tanzania huyo mh jakaya msrisho kikwte pumzika baba ulisem kwel me ni mtuliv ila kuna siku mtanikumbuka kwel baba. 7
  • @
    @mtakamaonline77484 years ago Offer nunua au kopa mobisol solar watt 40, 80, 120, 200 ikiwa pamoja na tv inch 22-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha. Piga simu.
  • @
    @petermushy98834 years ago Jk tunakumisi mzee wetu mwambukizie uyo jamaa chembechembe za kula bata tuenjoy basi. 5
  • @
    @husnahassan62894 years ago Hahaha huyu mzee nampenda sana wallah yaani yupo smart mno akitabasamu sasa woi love u so much kikwete. 7