Duration 5:22

MANARA: Mwaka huu mabingwa/ Simba inamashabiki wengi zaidi/ inapiga pasi 100

5 437 watched
0
25
Published 1 Nov 2018

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kuwa bila shaka yoyote mwaka huu wanaweza kuwa mabingwa wa ligi huku akiongeza kuwa hakuna taasisi kubwa na yenye fansi wengi zaidi ya Simba na kamwe hatojali hata akishambuliwa kwakuwa jina lake linazidi kuwa kubwa.

Category

Show more

Comments - 5