Duration 9:54

JINSI YA KUPIKA KEKI NDOGO ZA UJASIRIAMALI/HOW TO MAKE CUPCAKES FOR BUSINESS

61 292 watched
0
1.2 K
Published 13 Jan 2020

Nimefundisha Nakutoa Vipimo Vya Gharama Ndogo Ili Kumpa Mfanyabiashara Mdogo Mdogo Faida Nakuweza Kumudu Biashara Yake. #mapishi #kupikakeki #jinsiyakupikakekisponji #ujasiriamali

Category

Show more

Comments - 395
  • @
    @neyllarmussa4194 years ago Nashukr san dada nilikuwa natamani kupata madarasa kama yako kwasababu ya hobby yang ya kuwa mjasiriamali wa bakery kama wewe Allah akuongezee 😍 2
  • @
    @nigistsheikh78194 years ago MashaAllah, Allah akulipe malipo mengi,akufungulie milango ya kheri.
    Je kwa vipimo hivyo hapo nitatoa keki za mia 5 ngapi samahani
    5
  • @
    @leylasalim89214 years ago Mashaallah upo vizuri dada unajua kufundisha asante mungu akubariki💌 2
  • @
    @lisajumwa28144 years ago Asante kwa ushauri mzuri na kunipa moyo 1
  • @
    @khatrarage44454 years ago Mansxallah weka n risipi pia uweke hongera 1
  • @
    @lilianmrindoko6873 years ago Ahsante sana nimepata somo nitaifanyia kazi
  • @
    @reycakesjikoni90854 years ago Kitu nafanya ni kukuombea Allah azid kukupa afya njema na roho yko njema Zaid Hakika unatujuza mengi be blessed forever mziwanda 18
  • @
    @joycemwasote29599 months ago Asante sana Dear ni nzuri sana nitajaribu kisha nitaleta mrejesho na hizo skupa zinapatikana wapi? Barikiwa kwa elimu nzuri 1
  • @
    @aminambegu15643 years ago Mashallah umekuwa mwalimu mzur Sana Allah akubarik
  • @
    @ashakulanga92794 years ago Asante mamii nimeona vipimo vyote ubarikiwe
  • @
    @meshackchananja59524 years ago Ubarikiwe kwa masomo mazur .Tusaidie kutengeneza pipi
  • @
    @marthaosward44574 years ago Asante Dada mungu akubarik sanaaa, una roho yakipekee
  • @
    @janetdavies23134 years ago Hello dear one naomba kujua mfano oven yangu Ni ndogo na kupitia vipimo hivyo je nitawezaje kuoka cake kidogo mpka nimalize mchanganyiko wote?
  • @
    @astidijakashemeile19184 years ago Wewe Dada Sina la kusema Wewe ni zaidi ya mwalimu nimejifunza lenimeangalia video zako Leo nimejifunza nimefurahi Mungu akubariki nitareta mrejesho 1
  • @
    @marthalusekelo2332 years ago Dada nakukubali mno unanibariki sana ✊
  • @
    @hamiskipengele89124 years ago dada shukran sana....mungu akubarik..nlikua naomba utuelezee zaid kuhusiana na market na jina ya kujilipa....wengine ndo tunataka kuanza biashara from scratch....Cake ndogo ntapack ngap kwa sh ngap kwa wateja wa jumla..?asante ...
  • @
    @saumukitchensoyummmy57094 years ago baking powder ndo sawa na vijiko vingap vya chakula??..vip sukar hujasema ni kiac gan
  • @
    @elizabethmelikyori30894 years ago Mm nabarikiwa na wewe sana lazima nifanye dada
  • @
    @JacklyneMinja3 weeks ago Hongera sana Mziwanda nimekuwa nikukufwatilia ricep zako za cake na maandazi na nikifanikiwa kutoa kitu kizuri ubarikiwe dada
  • @
    @muniraramadhani90934 years ago Mafunzo mazuri mashaallah allah akulipe 2
  • @
    @asinathasinath50904 years ago Nakupenda sana Natamani kwe km wewe 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥👏 2
  • @
    @aishaabdallah45604 years ago MashaaAllah nimexipenda ..nauliza huu moto n juu chini ama vp na zaeza kaa kwa mda gani nijuxe my
  • @
    @anethdavid5504 years ago Unatusaidia sana tunaojifunza Mungu akujaalie
  • @
    @FatmaMohamed-yv2vl4 years ago Asante sana mpnz.... wengi wanatufundisha vya kula nyumbani lakn ww unatufundisha vya biashara bila uchoyo... Allah azidi kukubariki!
  • @
    @user-rm3jq8yc2g3 months ago Dada mimi nmejaribu but ndan haichambuki vzur halaf ovena yangu inanisumbua naset temp 180/ dk60 but dk zinaisha halaf keki bhado haijaiva nifanyeje pliz natamani sana ???
  • @
    @WinifridaJohn-pl7pulast year Asante kwamafundisho mazur ,mm kuna wakati napika inakuwa namafuta MDA mwingine haiivi yote ,nifanyeje Ila Walt natumia mkaa zilikuwa nzuri Kwa sasa natumia oven nakosea wapi
  • @
    @winfridawililo27694 years ago Nakupenda sana. Mungu aibariki kazi ya mikono yako, akuzidishie baraka na faida Mara dufu kwa kila unalofanya.
  • @
    @nacmmaju72694 years ago mm ntajaribu hizo hapo niuze in shaa allah ila allah akubariki dada na akutilie barka kwenye kazi zako
  • @
    @hotenciamteme7449last year Habari za leo dada Mziwanda Bakers. ASante sana kwa mafunzo mazuri Mungu abariki kazi ya mikono yako
    Kuna kitu chochote ninachoweza kuweka kwenye cups cake ili zisiharibike mapema?? Kule dukani kwa Mangi.
    Tafadhari naomba unisaidie
    ...
  • @
    @fahimahajji35442 years ago Dada,nauliza swali,ingredients za cake napima kawaida alafu improver nafaa kuweka kama baking ama?
  • @
    @pillisiasa68984 years ago Mashallah my nakupenda kwakweri mungu akurinde una moyo wauruma my Mimi naomba namba kipenz
  • @
    @mamybotha17614 years ago Asante sana dada hakika Mwenyezi Mungu ndo atakae kulipa unachokifanya ni zaidi ya sadaka
  • @
    @arafakiloli7494 years ago Mashaallah unapatikana maeneo gni mpendwa
  • @
    @jacklinejames19134 years ago Mapishi mengi nimejifunza kwako dear Mungu akubariki sana naomba uwe unatuekea recipe kwenye description box kama hutojali asante sana
  • @
    @kagemulontasi2044 years ago Mziwanda ee kama sina stand mixer nafanyaje kurahisisha uchanganyaji?
  • @
    @merrynimependaninzurisanaa97754 years ago Ahsante dada keki zimetoka vizuri sana dada shkurani
  • @
    @estarkapinga61263 years ago Asntee Sanaa dada jamn mungu akubaliki Sanaa
  • @
    @sumahsumah80834 years ago Mm nisaidie kujua tofaut ya bluband na siagi na zipoje
  • @
    @suzanmkangi85152 years ago Dada mm nimejaribu lakini cupcake inakuwa ngumu kwa nje naomba unishauri nifanye nn ili iwe nzr na laini?
  • @
    @penina-farm53934 years ago Asante sana kwa maarifa, je unaweza kutumia jiko la mkaa na je Kuna vyombo maalum vya kupikia keki hizo
  • @
    @princesspatrick44594 years ago Asanteee sana ❣️
    Mm nimejaribu sema keki zangu zm hazijawa nyeupe ndani ni Kama za njano
    1
  • @
    @floramisafi27234 years ago Asante sana dada nimeichukua na Mungu akubariki sana
  • @
    @lisajumwa28144 years ago May God bless .you explain food tutorial.kenya 2
  • @
    @noelakataraiha66924 years ago Asante madam asante sanaa!!! Ni nini kinasaidia cake ikikaa kwa Mangi isiharibike?? Me natengeneza ya kukata vipande zinakua lain zinaharibikaa 4
  • @
    @jamilasarah54786 months ago Kwenye kilo mbili unaweka baking powder vijiko vingapi?
  • @
    @justinandirangu45073 years ago kEKI NZURI SANA. Ninunue wapi machine kama hio ya keki
  • @
    @fatmasalum60814 years ago Mashaallah dia sjaona km ww Allah akulipe kher.
  • @
    @matildalukumai65202 years ago Mamy Asante sana Kwa ufundishajj mzuri nimeelewa sana ila naomba mchanyoko wa unga kilo moja mamy wangu. Please.
  • @
    @fatmajumapili89184 years ago M.Mungu akuongezee panapongua mamii, umenifundisha jambo kubwa sana. Nilikua najiuliza haya mambo naanzaje ila umenipa somo zaidi ya darasani. Jazakallah kheir
  • @
    @ashakulanga92794 years ago Hello dear blueband kiasi gani na sukari kiasi gani
  • @
    @maryammaram26124 years ago Mi nilikuwa nauliza ivi kama oven yako ni ndogo na umekoroga unga mwingi je ukichoma nusu na nusu ukaichoma badae cake zako zitakuwa sawa au hazitopanda kama kawaida yake.. Santa kwa somo zuri😋😋 1
  • @
    @hawahatibu50324 years ago Asante Dada ubarikiwe sana,,je maziwa yap yanafaa zaid namaanisha fresh milk,,au ya box kama azam,dar fresh nk.
  • @
    @StezieRl4 years ago Asantee mpnz kama kawaida unavyozidii kuchana mawimbii Mungu akubarikii mmno dear
  • @
    @annamanyara25623 years ago Unamoyo wa peke yako Mungu akuzidishie mamy
  • @
    @AngerinSawe-bm5ic10 months ago 🙏🏼🙏🏼na ukitumia maji unaweka kiasi gani madam
  • @
    @collinsobonyo74624 years ago unafunza vizuri, mm nime jaribu marambili lakini inatoka ugali yani haivi but nilitumia jiko
  • @
    @nanacyalfred63524 years ago Hi mamy naomba kujua nitakapopata hizo cupcake za 500 na bei yake mpz....shukran habity ❤️❤️❤️