Duration 4:4

Tamasha la Bodaboda Superstar Lafanyika kwa Kishindo Dar

30 698 watched
0
37
Published 14 May 2017

#Tamasha la #Bodaboda maarufu kwa jina la #Dar #Bodaboda #Superstar, linalodhaminiwa na makampuni ya JP Decaux pamoja na International Republican Institute (IRI), limefanyika kwenye Viwanja vya #Tanganyika #Parkers. https://globalpublishers.co.tz/tamasha-la-dar-bodaboda-superstar-lafanyika/ Kati ya washiriki wa tamasha hilo la bodaboda mmoja alijinyakulia pikipiki baada ya kuwashinda washiriki wengine kutokana na vigezo vya mashindano hayo kuvikidhi. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 Akizungumza na mtandao huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya #JP #Decaux, #Shaban #Makugaya alisema kuwa lengo la tamasha hilo lilikuwa ni kuweka uamsho, msisitizo na kuendelea kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa pikipiki na abiria kwa madhumuni la kuzingatia sheria za usalama kwa matumizi ya barabara pamoja na kudumisha umoja, ushirikiano na mshikamano katika jamii. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1

Category

Show more

Comments - 4