Duration 12:47

Maalim Seif amkana Rais Shein niko tayari kushirikiana na Rais Magufuli

34 740 watched
0
93
Published 11 Nov 2018

Leo Novemba 11 aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF Taifa Maalim Seif ameendelea kusimamia msimamo wake wa kutomtambua Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mbele ya wahabari.

Category

Show more

Comments - 41