Duration 24:7

Highlights | Azam FC 0-1 Simba SC | Nusu Fainali ASFC

265 026 watched
0
679
Published 27 Jun 2021

AZAM VS SIMBA 0-1 : Tazama jinsi Simba walivyotinga fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa goli la maajabu kutoka kwa Luis Miquissone baada ya Bernard Morrison kuanzisha kwa haraka mpira wa kutenga (free-kick) dakika ya 89. Katika mchezo huu wa nusu fainali, Simba imeitandika Azam FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 75