Comments - 155
  • @
    @irenemina20594 years ago My favorite motivation speaker nanauka. 4
  • @
    @shedrackymatandala1339last year Najuwa utakuwa unapokea asante nyingi xana pengine hadi zamikono kabisaa ila naomba upokee na asante yangu hatakama haina ki2 7bu wewe ni2m watofauti id="hidden1" xana na unanifundixha vi2 vingi ambavyo nilikuwa navifanya bila kuvifikiliya kuwakwangu na kwenye maixha yangu bro xnte. ...Expand 2
  • @
    @bueno18184 years ago Inspiration icon! Keep teaching us sir! 3
  • @
    @sixmelody4349last year Nimetulia hap napata darasa zuri la maisha. 1
  • @
    @augustinomarkmmbaga31703 years ago 1. Jilipe mwenyewe kwanza
    2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji
    3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri.
    11
  • @
    @nelsonjonas73342 years ago Noted brother joel, mungu azidi kukupa uhai kwa maono ya jao makubwa zaidi katika kufundisha na kutoa ushauri. 2
  • @
    @patiencejames48534 years ago Huyu br, mungu kamleta kwa kusudi maalumu tanzania, proud of you br. 15
  • @
    @issakigezi47094 years ago Kaka joel asante sana kwa masomo yako naomba uchambue biashara za kuchangia. 3
  • @
    @merykyungai25517 months ago Umenisaidia sana kwenye matumizi ya pesa asante sana.
  • @
    @mamadon29534 years ago At least nimejinza kitu leo. God bless you. 2
  • @
    @nashiruhassani51583 years ago Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutuelimisha.
  • @
    @JOHNCHANGE-qv1fp11 months ago Thank you my brother i collect you from zambian.
  • @
    @wamariciousmaro32292 years ago My best motivational speaker big up br. 1
  • @
    @shukranjulius59103 years ago Hakika nabarikiwa mno kaka joel mungu akutunze.
  • @
    @bajutaboy75882 years ago Umenena kweli kaka tuko pamoja naamini nitabadilisha matumizi yangu ya kifedha
  • @
    @alnejom72794 years ago Mungu akubariki sana naendelea kujifunza.
  • @
    @mussadismass93063 years ago Ubarikiw sana kaka joel nimejifunza san somo hili kwaumakin.
  • @
    @aminaibrahim36563 years ago Nice teacher nakufatilia sana mr joel nanauka m/mungu akubaliki kila siku.
  • @
    @faudhiarajabu26553 years ago Ahsante kaka nimejifunza leo kupitia wewe.
  • @
    @deomsaky76292 years ago Kaka upo vizuri sana naendelea kujifunza.
  • @
    @chalresmyamba10712 years ago Joel mungu kakuleta tz kwa kusudi maalumu so kwa kutufungua ubongo naamini mwaka huu nimefanya vizur kupita kwa maoni yako mungu akupe miaka zaid utufikishe mabli.
  • @
    @zephaniamadoshi94923 years ago Nashukulu sana kaka angu kweli hujawahi kuongea ki2 kinyume ubarikiwe.
  • @
    @upendosamson84503 years ago Kwakwel nimebarikiwa sana na hili somo be blessed my brother.
  • @
    @ivanisack52524 years ago Nakupata moja kwa moja kutoka mwanz tz.
  • @
    @danielw.katabe655310 months ago See me at the top! Niko na ww class to class.
  • @
    @alenenerico97244 years ago Mafunzo yak naelewag xan god be with you.
  • @
    @Raja-zu7nh3 years ago Umeni fumbua kaka nimengi sana nirikua sifaamu.
  • @
    @jimmyfaliala54602 years ago Ubarikiwe sana my teacher mengi na njifunza kwenye vipindi vyako.
  • @
    @angeljohnson50939 months ago Bro leo nimejifunza kitu kikubwa sana nakuaidi nabadilika sasa.
  • @
    @mbirionline49164 years ago Mkuu huu pesa zina kuja na maelezo yake na matumizi yake. 1
  • @
    @timothymwaluko41893 years ago Kazi zako nzuri sana kaka, ubarikiwe sana.
  • @
    @yohanamagele36333 years ago Hii kanuni ya 3 imenipotezea fedha thanks brother.
  • @
    @juvenarymachumu4 years ago Duh mm nilikia nakiuka knuni ya kwanza.
  • @
    @priscardanier8264last year Nimejiajili huu mwaka wa 3 lakin sijawai jilipa.
  • @
    @daniellepari45254 years ago Ahsante sana kaka kwa kujitoa kuelimisha watu mungu akubariki sana. 3
  • @
    @muhsinsalum80092 years ago Zote ninoma kwangu.
    natakiwa nijitazame vizuri.
  • @
    @juliusbwire22783 years ago Nimebarikiwa sana na video na ebook zako, hakika mungu amekuchagua ulete mabadiliko kwa watu wake,
  • @
    @chazmtawala9904 years ago Naam my burothar umenifundisha mengi sana nakushukuru sana na mungu akubaliki uzidi kusitawi katika kipaji chako.
  • @
    @antonadam42314 years ago Hiyo namba tatu inawahusu watu wengi zaidi.
  • @
    @jpntv84564 years ago Sijamaliza kusikiliza ila nimejifunza kwa 100% naendelea kukusikiliza na kukufatilia. Be blessed. 3
  • @
    @yassinkassim52414 years ago Yaani watu eh sasa dislike za nini kwenye somo bora kabisa.
  • @
    @linussiwitilisitv48304 years ago Shukrani sana kaka joel n kuna kitu kikubwa nimejifunza juu ya kanuni hizi tatu.
  • @
    @fenyotzmlekwa75904 years ago Hiyo kanuni ya kwanza nilikuwa cjaitambua nashukuru sana umenifumbu.
  • @
    @princesstaes54834 years ago Nmejifunza kitu aisee me nimiungoni nisieweza kutunza pesa ubarikiwe broo. 1
  • @
    @phanuelpaul37854 years ago Haijalishi unaingiza pesa nyingi kiasi gani kumbe kinachomata ni unasave kiasi gan ok ahsant sna