Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 6 Novemba 2019 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hujuma wanazofanyiwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika hivi karibuni.
@dennisungonella2055 years agoKilichofanywa na serikali kwenye uchaguzi huu ni zaidi ya ufisadi. 1
@
@sagandamalechampullo6595 years agoWananchi watanzania wengi wananyima wanafasi ya kuchagua viogizi wanaowapenda, 1
@
@isengodunamis70615 years agoMaandamano ndiyo kia prkee kwa sasa hali ya nchi ilipo. Bila maandamano hawasikii sasa andio wakati muafaka kufanya maanamano yasiyozimika nchi pamoja na mambo mengine ya nyuma katika hili profesa lipumba ameonyesha mfano bora was kukumbukwa. ...Expand2
@
@NasirAhmed-bp4vj5 years agoWaandishi tunaomba muandike vichwa vya habari zenu na eneo mnalo ripoti.
@
@stevencherdiel95225 years agoMzee uliaminika sasa hivi hakuna anaekuelewa. 1
@
@ezekielmigera85595 years agoHakuna democracy tanzania; waacheni sisi ccm watawale peke yao; kita kacho fuatia kesho watakio; 1
@
@thobiaslyimo10405 years agoWalipokurudishia ofisi na kumng" oa maalim ulishangilia sana saa hii unapanua domo.
@
@tedlema81055 years agoTuamini kip sasa, nacho ni ya vyama vingi au chama kimoja. 1
@
@stevencherdiel95225 years agoHaki inapatikana mzee mahakamani ndiyo maana hata sasa wewe ni mwenyekiti wa cuf na unapokea ruzuku. Wacha porojo mzee. 1
@
@apendeckkapilimka64145 years agoWakati ule unarubuniwa ulikiwa hujui kifuatacho?
@
@khalidchengula63805 years agoZile hela ulizohongwa za usaliliti zimeisha kwa hiyo unataka zingine, mtego huo. 1
@
@charlesbarongo69225 years agoWahenga walituaminisha kuwa chema ujihuza na kibayakilichoaminika kuwa chema kinaanza kujitembeza ujue hicho si chema tena.
@
@mwalimumbukuzi72735 years agoProphessor wewe ni mkweli na muaminifu. Tuko nawe kwa hili mkuu. 1
@
@abdillahmbinga70505 years agoUyo ndio kauli ya kiume na uwazi na ukweli.
@
@ngurumanmwita85545 years agoAcha uvune ulicho kipanda, lait mngekua na umoja na wenzako ungepata nguvu lkn wakt unakula mita jicho likiwa limekutoka hukuyajua haya, kiukweli umeshindwa. ...Expand
@
@nathanmapunda10525 years agoSidhan kama watanzania watakuelewa, nikiwemo mimi mwenyew sikuelew kabisa mzee kwa usalit ulioufanya. Ngoja usikilize maoni ya wadau.
@
@deluxermahyono52905 years agoMbowe umejificha wapi? Jitokeze utoe laana yako kwa madhalim je ww uko tayari kuona pombe haimwagwi na inanywewa bila kinywaji kingine? Kamanda bwelayi kuno.
@
@isengodunamis70615 years agoMaandamano ndiyo kia prkee kwa sasa hali ya nchi ilipo. Bila maandamano hawasikii sasa andio wakati muafaka kufanya maanamano yasiyozimika nchi pamoja na mambo mengine ya nyuma katika hili profesa lipumba ameonyesha mfano bora was kukumbukwa. ...Expand2
@
@ngurumanmwita85545 years agoAcha uvune ulicho kipanda, lait mngekua na umoja na wenzako ungepata nguvu lkn wakt unakula mita jicho likiwa limekutoka hukuyajua haya, kiukweli umeshindwa. ...Expand
Related videos for MUBASHARA: LIPUMBA ACHARUKA/AILIPUA CCM:
sasa andio wakati muafaka kufanya maanamano yasiyozimika nchi pamoja na mambo mengine ya nyuma katika hili profesa lipumba ameonyesha mfano bora was kukumbukwa. ...Expand 2
kwa hiyo unataka zingine, mtego huo. 1
sasa andio wakati muafaka kufanya maanamano yasiyozimika nchi pamoja na mambo mengine ya nyuma katika hili profesa lipumba ameonyesha mfano bora was kukumbukwa. ...Expand 2