Duration 1:8:14

FINANCIAL BREAKTHROUGH (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

5 873 watched
0
83
Published 2 Aug 2021

1 Wakorintho 16:9 [9]kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao. Kuna milango na milango mikubwa.Yusufu kutafsiri ndoto za wale wafungwa ulikuwa ni mlango lakini kutafsiri ndoto ya mfalme ulikuwa ni mlango mkubwa.Kuna mlango ambao Mungu akikufungulia basi mambo yako yote yamefunguka,huo ndio mlango mkubwa. Mtume Paulo ameona kuwa mlango ameshafunguliwa lakini kuna ambao wanauzuia tena Biblia inasema ni "wengi". Kuna watu ambao wakiwa wanakaribia kufanikiwa katika jambo fulani basi kuna kitu tu kitainuka ili mtu huyo asiweze kufanikiwa katika hilo jambo.Ni wale watu ambao husema,"ilibaki kidogo tu nifanikiwe".Ukiona upo katika hili kundi jua kabisa kuwa kuna waliosimama katika mlango wako kukupinga maana mlango ndio unakupa idhini ya wewe kupita kuingia eneo fulani.Na kwa kujua hili shetani hakupigi kila eneo bali anakusubiria kwenye mlango ili akuzuie. Karibu usikilize somo hili na Mungu atakufungua. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ

Category

Show more

Comments - 14