Duration 4:2

Jinsi ya kutengeza Masala ya Dania/kotmiri with English Subtitles

2 908 watched
0
33
Published 22 Sep 2020

#masala #chutney #coriander paste Mahitaji Kotmiri au dhania furushi moja kubwa Kitunguu maji 1 size ya kati Pilipili mbichi 3 za kijani Thomu chembe 5 Tangawizi 2 za kiasi Majani ya Nanaa ma5 Mafuta ya alizeti vijiko vikubwa 2 Maji kikombe 1

Category

Show more

Comments - 4