Mali Imekuwa Sababu Ya Watu Kutokuwa Na Utu Kwa Watoto Walofiwa Na Wazazi Wao, Wakati Mwengine Mpaka Ndugu Wa Karibu Wanadiriki Kudhulumu Mali Ya Yatima Pasi Na Kuwa Na Huruma Ya Kumlea Na Kumpa Pole Juu Ya Msiba Wa Wazazi Wake, Bali Wengi Hukimbilia Mali Pekee Na Kutojali Utu Wa Mtoto Mwenye Mali Hizo.
Kwenye Kaswida Hii Utajionea Namna Watu Wasio Na Huruma Kwa Yatima Wanavyoweza Kumtesa Na Kumdhulumu Mali Zake, Vile Vile Kaswida Inatufundisha Kuwalea Mayatima Na Kuwaonea Huruma Na Kuwapa Kila Mahitaji Ya Muhimu Na Haki Zao Pia.
#Yatima #Qaswida #Nasheed #Huruma #Majonzi #Mateso #Upendo #Masikitiko #abnaumuhammad
Qaswida: CHOZI LA YATIMA
Wasomaji: Maalim Seif & Ally & Taarik
Producer: Cholo (Ahimt)
Directed by Abnau Muhammad
Prepared by ABNAU MUHAMMAD (0675633974)
Category
Show more
Comments - 162
Related videos for CHOZI LA YATIMA (Qaswida Inayohuzunisha Wengi Sana):