@dianasamson931110 months agoMayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden1" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand3
@
@user-hn9sj6fp3g10 months agoTunakupenda sana mayeree mungu akakusimamie uko uwendako. 4
@nicholauskilosa533610 months agoMayele wewe ni kipenzi cha wanamnooo mwamba nenda lkn usisahau kwamba mashabiki wa yanga tutakumiss. 11
@
@brysonkaale30039 months agoMbali na kipaji cha mpira mayele ni mchezaji mwenye busara na adabu, hana makuu! 3
@
@mrsultanzimbwe674610 months agoPlayer wote tumewasahau waliondoka yanga lkn mwamba mayele tutamuombea mema daima hana baya hana urojo rojo alafu pengo lke halijazibwa kamwe. Lkn kina skudu max na pacome wametusaulisha kina mwembe ladu sptl ya wazazi. 5
@
@dvoicemaxmia118210 months agoFei umeanza kutoka maupele tena na vijipu uchungu hahaha pole sana. 1
@
@mohammedhimba164710 months agoYaani fei laati kama ungekuwa na sabra na kucheza mpaka wa mwisho shirikisho na ukakiwasha wallahi ungesajiliwa kwa pesa nyingi zaidi lakini ni fungu la kukosa. 6
@
@abdallahshaibu610610 months agoBeans mayele ninakuombea kila la kheri mungu alinde kipaji chako. Maana umeondoka yanga bila guyana yoyote. Siyo mtu mmo hakutaka yanga ifaidike. Lakini wewe mayele kiroho safiiu. 2
@
@ains112210 months agoLakini asije kutetema kwa ligi ateteme huko nje. 1
@
@marryfelician142610 months agoMayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .....Expand
@
@gaudenciaantony552310 months agoMayele lugha utadhani kazaliwa bongo, arudi akishindwa.
@
@tumainielmremi791210 months agoYanga ni bora kuliko fei na mayele. Bora mayele fei ni msaliti. 2
@
@user-cc8le8bx5s9 months agoNakweli katuteka wengi unajunini ataruditu.
@
@user-ck3db6zv8t10 months agoMayele nenda ila ukiona huko kumebana lud nyumban.
@
@pendokitalo229510 months agoWao wanakikomo saivi vicheko klabu siku zote haina kikomo. 2
@
@burudanitiv32410 months agoNyie wote ni mafara tuyy mipuuzi kweli. 3
@
@peninakuonewa9 months agoJamaa yako huyo amepoteana ateteme wakati ajui kuupiga bila sapota wazuri yanga hii ya mabao mh balaa tunazidi kumsaau tu huyo bingwa wa faulo.
@donaldbenedict576110 months agoHuyu dogo msaliti angalia mayele kawa muungwana leo anakula matunda yake misri. 1
@
@fucianejoseph525410 months agoAcheni umbea nyie ni wapitaji tu, from ukerewe 2geza is 1.
@
@IslahiMohamed-qi2jf10 months agoMpira maslahi tafuteni pesa musiwasikilize wasiojua maisha. 2
@
@dianasamson931110 months agoMayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden7" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand3
@
@marryfelician142610 months agoMayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .....Expand
Related videos for VIDEO; MAYELE AMCHANA FEITOTO, Umeisaliti YANGA Kutetema MISRI Mwakani: