Duration 6:00

MIKATE YA IJUMAA KUU//HOT CROSS BUNS//GOOD FRIDAY/EASTER BUNS

5 222 watched
0
0
Published 30 Mar 2021

mikate ya ijumaa kuu inayoitwa hot cross buns ni mitanu sana sana na kwenye video ntakuonyesha jinsi ya kupika mikate hii mitamu sana. unaweza kula mikate hii siku yoyote ila nchi za wenzetu hupika na kula mikate hii siku ya ijumaa kuu. Naomba ujaribu recipe hii na uniambie umeipenda kiasi gani mikate hii ya ijumaa kuu iitwayo hot cross buns

Category

Show more

Comments - 50